Mwanzo » » HUYU NDIYE VIDEO QUEEN MPYA ANAYE FANANA NA WEMA SEPETU MPAKA UMBO.

HUYU NDIYE VIDEO QUEEN MPYA ANAYE FANANA NA WEMA SEPETU MPAKA UMBO.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday 27 March 2014 | 10:18




Huyu ndiye mrembo atakayehuka kwenye kichupa cha msanii maarufu kama Jaco Beats kwenye wimbo wake mpya unaoitwa walionuna,
 Video queen huyu chipukizi anayefanya vizuri na ataendelea kufanya vizuri ni mwanafunzi wa CBE Dodoma wa mwaka wa kwanza ambaye anatambulika kwa Jina la Caro ambapo wengi wao hudhani yeye ni mmoja kati wa ndugu wa Beautifully Unyinye,Madam Wema sepetu kwa jinsi walivyofanana,


Kaa tayari sasa kwa kumwona kwenye kichupa cha Jaco Beats - Walionuna ambacha soon kitakuwa hewani
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa