Mwanzo » » JINI KABULA SIMU ZA KUJIUZA CHINA ZINAMSUMBUA KILA KUNAPOKUCHA, PATA KISA KIZIMA HAPA.

JINI KABULA SIMU ZA KUJIUZA CHINA ZINAMSUMBUA KILA KUNAPOKUCHA, PATA KISA KIZIMA HAPA.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday 27 March 2014 | 11:07

STAA wa Bongo Movies, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amefunguka kuwa amekuwa akipigiwa simu na mtu asiyemfahamu na kumtaka akafanye biashara ya kujiuza ‘ukahaba’ nchini China.
Akizungumza na paparazi wetu, Jini Kabula alisema katika maisha yake anaamini maisha mazuri hata Bongo yanapatikana hivyo licha ya kutangaziwa dau la maana lakini amekataa.
“Nimekuwa nikipigiwa simu mara kwa mara na mwanamke mmoja ili niende nchini China kujiuza lakini nimekuwa nikimkatalia, najitambua mimi sikubali,” alisema Jini Kabula.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa