Mwanzo » » LINEX ADAI HAJAACHIA NGOMA MPYA BALI ''SHANIA'' IMEVUJISHWA, MPANGO KAMILI HUKO HAPA.

LINEX ADAI HAJAACHIA NGOMA MPYA BALI ''SHANIA'' IMEVUJISHWA, MPANGO KAMILI HUKO HAPA.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday 27 March 2014 | 11:32



Msanii mwenye sauti ya peke Linex Aka Leka Maker amelalamikia studio na producer wa Kama Kawa Kwa kusambaza wimbo wake “Shaina” alofanya na producer huyo. Linex anasema hakuwa na mpango wa kuanza mwaka 2014 na wimbo huo.
Comment hizi aliweka Facebook na Instagram.
“Mwaka huu sijatoa wimbo mimi nashangaa watu wanavovujisha vujisha ngoma zangu shaina sio plan yangu mimi nimerecord kwa dogo studio kama kawa yule mtoto kaipeleka radio amenichefua sijawah mdiss mtu but itafikia wakati maproducer wadogo watakosa nafasi yakufanya kazi na kaka zao kwa ajiri ya ujinga wao wenyewe bado time yangubya kutoa wimbo haijafika ningeomba radio zistop kuucheza huo wimbo #Aksanten”
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa