Mwanzo » » LORD EYEZ PICHANI AKIONEKANA CHINI YA ULINZI KWA TUHUMA ZA WIZI.

LORD EYEZ PICHANI AKIONEKANA CHINI YA ULINZI KWA TUHUMA ZA WIZI.

Imewekwa ma Unknown siku Tuesday, 4 March 2014 | 13:40


Alikamatwa siku ya jumamosi kuamkia jumpili mida ya saa kumi na moja alfajiri na hapa ni kwa tuhuma za kuiba laptop iliyokuwa ndani ya gari siku ya ijumaa akiwa na wenzake lakini Lord Eyez akiwa ni mtuhumiwa number moja na kwa maswali ya wali Lord alikataa kuhusika na mtuio hilo la wizi na sasa yupo chini ya ulinzi katika kituo cha polisi Arusha alisaidia jeshi la polisi kupata ukweli wa tukio la wizi wa Laptop kwa kuvunja kioo cha gari.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa