Mwanzo » » MAMLAKA YA MAPATO NCHINI UGANDA (URA) YAMNYANG'ANYA JOSE CHAMELEONE GARI LAKE.

MAMLAKA YA MAPATO NCHINI UGANDA (URA) YAMNYANG'ANYA JOSE CHAMELEONE GARI LAKE.

Imewekwa ma Unknown siku Sunday 30 March 2014 | 18:42



Hivi karibuni zimesmbaa taarifa za picha zikuonesha Jose Chameleone na lundo la pesa akihesabu pesa kwa mashine jambo liliashiria kuwa ni msanii mwenye kwanja kiasi cha kufanya mashesabu yake kwa mashine pia ukitazama na magari anayomiliki basi ameonekana kuwa msanii mwenye mkwanja lakini kwa taarifa zalizopo kwasasa ni za aina yake kwa kuwa imeripotiwa kuwa gari aina ya Escalade lililoko chini ya jina lake ''Mr. Mnyanja Joseph'' alimaarufu kama Jose Chameleone limechukuliwa na mamlaka ya mapato baada ya kushindwa kulipa kodi ya shiling millioni saba za Uganda ambazo ni  sawa na 4,488,801.57 TZS muda mchache tu kabla ya ziara yake ya onyesho la Tubonge ndipo gari lake hilo lilikamatwa chini ya mamlaka hiyo ya mapato ya nchini humo(Uganda)



Jose Chameleone alijaribu kuwasihi wasilichukue hata kwa kutumia kauli za vitusho vya kuwaogopesha kuwa endapo mtu atachukua gari lake atakufa na hiyo Escalade yake ni yake pekee yake na sio watu wengine kulitumia laki kwakuwa malaka ilishaamua kutii sheria walilazimika kulichukua mapaka pindi atakapolipa pesa anayodaiwa basi watamrudishia.
Hii ndio hati iliyotolewa na Mamlaka ya Mapato ya kuchukua gari hio la Jose Cameleone.


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa