Mwanzo » » MCHEZAJI WA ARSENAL AISHUKURU NA KUIOMBEA TANZANIA KUTOKANA NA MTANZANIA ALIYEVAA JEZI YA JINA LAKE.

MCHEZAJI WA ARSENAL AISHUKURU NA KUIOMBEA TANZANIA KUTOKANA NA MTANZANIA ALIYEVAA JEZI YA JINA LAKE.

Imewekwa ma Unknown siku Sunday 30 March 2014 | 22:34

Kma jamaa huyu aliyonekana amevalia jezi ya Arsenal angepata nafasi ya kukutana na Lucas Podolski basi kimaisha alikuwa ametoboa yaani alikuwa ametoka kimaisha baada ya Podolski kujikutana na picha ya jamaa huyo toka Tanzania akiwa amevalia Jezi ya Timu anayochezea na nyenya jina lake.

clip_image001Haijajulikana Podolski alipataje hizi picha ila huyu hapa chini ni Mtanzania alievaa jezi ya staa huyu wa Arsenal ambapo hiki kitendo kimemfanya Podolski kumsifia huyu shabiki kwamba jezi imemtoa freshi na kuitakia kila la kheri Tanzania.clip_image001[6]Hiyo hapo juu ni kwenye instagram ambapo picha hiihii pia aliipeleka kwenye page yake ya twitter kama inavyoonekana hapa chini.clip_image001[8]Asante sana kwa mtu wangu wa nguvu, kwenye twitter @1960Remijaamekua ripota wa nguvu kwa kunistua kuhusu hii stori.
Imetoka: mirradayo.com
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa