Mwanzo » » MASTER J: WASANII WANGU WANARUHSIWA KUREKODI STUDIO YOYOTE NS ASIO LAZIMA KWA MARCO CHALI TU.

MASTER J: WASANII WANGU WANARUHSIWA KUREKODI STUDIO YOYOTE NS ASIO LAZIMA KWA MARCO CHALI TU.

Imewekwa ma Unknown siku Monday 31 March 2014 | 00:18

Unapoongelea Mj Records unaongela studio kuwa hapa Town na inayohit kwa namna ya kipekee Bongo, Kwa studio zingine zinazosimamia wasanii pia, ni ndoto kusikia wasanii wake wakifanya nyimbo kwenye studio zingine. Lakini hii ni tofauti kwa MJ Records.




“Record label sio studio, kazi yake ni kufinance, kumarket na kudistribute,” Master J alisema. “Mimi MJ Records wasanii wangu wana uwezo wa kurekodi sehemu yoyote kama mlivyoona sio lazima kwa Marco Chali tu. Na mimi ndio niliwaambia ‘jamani acheni tu kurekodi kwa Marco, lazima muwe na sound tofauti, otherwise mnakuwa mnawachosha tu mashabiki wetu’. Na unaporekodi studio tofauti hata sound unayopata inakuwa tofauti.”

Master J amesema kwa sasa wasanii walio chini ya MJ Records ni Shaa, Izzo B na Quick Rocka peke yake ambao aliwasainisha tena mkataba wa miaka minne kwa awamu ya pili. “Wale wengine ambao mikataba imeisha, sijarenew, wengi nimekataa sababu walikuwa hawana nidhamu.”
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa