Mwanzo » » MSANII JK TOKA ZAMBIA ALAUNCH PREFUME YAKE NCHINI TANZANIA.

MSANII JK TOKA ZAMBIA ALAUNCH PREFUME YAKE NCHINI TANZANIA.

Imewekwa ma Click BongoTz siku Tuesday, 25 March 2014 | 00:44


Msanii anaye-hit’ na masong yake East and Central Afrika anayefahamika kama JK kwa sasa anabamba na wimbo wake wa ‘Telemonde lovin’ na zingine kibao.

JK ni msanii anayefahamika sana Afrika ya Kati kutokana na ngoma zake ku-bang sana pande hizo,kwa sasa yupo Bongo kibiashara pamoja na kazi ya kimuziki, hivi sasa JK ameweza ku-launch manukato yake aina ya ‘Hot Ice’.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa