Mwanzo » » NEW SONG(AUDIO) IBRHYMES - UFAHAMU (OFFICIAL AUDIO)

NEW SONG(AUDIO) IBRHYMES - UFAHAMU (OFFICIAL AUDIO)

Imewekwa ma Unknown siku Monday 31 March 2014 | 21:49


Ibrhymes(Ibrahim Haruna) an hii ni single yake ya nne baada ya ile ya Amazing ya mwaka 2009,Futa nyayoaliyomshirikisha David Cosmas mwaka 2010, Wanazama aliyomshirikisha Lizzy Daddy na B Ranger mwaka 2013

Msanii huyo wa muziki wa rap amekuwa akifanya muziki tangu mwaka 2004 japo hakufanikiwa kujikita sana katika muziki kutokana na masomo na badae kazi yake ya utangazaji na uandishi wa habari

Mistari iliyomo katika ngoma hii imetoka katika moja ya freestyle ambazo amekuwa akiziandika kupitia akaunti yake ya facebook ,mfano verse ya kwanza iliandikwa siku ya chrismas mwaka 2013 katika akaunti hiyo

Wimbo huu unazungumzia mambo mengi yanayohusu ukweli wa mambo mengi yanayotokea katika maisha ya kila siku.Sikiliza na download hapa

Track Name:Ufahamu
Artist: Ibrhymes-The Dynamite
Producer: Ramhair
Studio:Vinny Music Lab
Genre:Rap


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa