Mwanzo » » SHUDIA MCHORAJI ALIYEAMUA KUCHORA LULU KAMA ALIVYO KATIKA JARIDA LA VIBETZ.

SHUDIA MCHORAJI ALIYEAMUA KUCHORA LULU KAMA ALIVYO KATIKA JARIDA LA VIBETZ.

Imewekwa ma Unknown siku Monday 31 March 2014 | 23:10

blogger-image--239403320

Anajulikana kama Samson Cyper, Kwa jina la Kisanaa ni Cyper255 toka Jijini Mwanza. Alianza kuchora tangu akiwa ana miaka 10. Aliiweka Sanaa ya Uchoraji Pembeni na kujikita zaidi na Masomo. Mwaka huu lasmi kaingia tena kwenye hii sanaa ya Uchoraji. Anaamini atafika mbali akipata support japo changamoto ni nyingi anazokumbana nazo.
Anasema ilimchukua Masaa 3 kuikamilisha hiyo picha ya LULU.
Unaweza kuona kazi zake zingine kupitia akaunti zake za Kijamii.
INSTAGRAM: @cyper255.
FACEBOOK: Samson Cyper.
Twitter: @Cyper255
IMG_12217410349768


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa