Mwanzo » » DUDU BABA AMKATA SIKIO MAMA YAKE KISA NI IMANI ZA KISHIRIKINA.

DUDU BABA AMKATA SIKIO MAMA YAKE KISA NI IMANI ZA KISHIRIKINA.

Imewekwa ma Unknown siku Tuesday 8 April 2014 | 16:09

Kupitia U Heard ya leo na Gossip Cop, story ni kuhusu Dudu Baya kumkata skio mama yake mkubw, kwa madai kuwa anamloga ndio maana hafanyi vizuri katika kazi zake za mziki.
 
Kwa mujibu wa mdogo wake kabisa (baada ya kuzaliwa yeye) amethibitisha kutokea kwa tukio hilo
 
"yah kafanya hivyo,  ni jambo la kusikitisha unajua ni hivyo, lakini sasa ndio hivyo kashafanya, kaenda kule kwa mama mkubwa kamkata skio, sababu haijulikani ni kwasababu gani kaenda kufanya hivyo, hata kama alikuwa na sababu halikuwa jambo la busara kumkata skio"
 
"nilienda nikamuuliza nani amemkata skio akasema ni mheshimiwa, akadai kwamba alikuwa anamwambia anamloga sijui nini, mambo ambayo hayana hatia ya msingi kwa ujumla, kwasababu hata ukiangalia yeye ni motto wala haumwi chochote wala wala mwanae hawaumwi ni mzima sasa amemroga nini........"
zaidi msikilize hapa chini
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa