Mwanzo » » HIKI NDICHO ALICHOKISEMA ''LINAH'' KUHUSU YEYE NA MASTAR WA BONGO KATIKA ISSUE YA USAGAJI

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA ''LINAH'' KUHUSU YEYE NA MASTAR WA BONGO KATIKA ISSUE YA USAGAJI

Imewekwa ma Unknown siku Saturday 5 April 2014 | 19:16

MWANADADA anayekimbiza ndani ya Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ amesema anakiri kuwa usagaji upo kwa mastaa lakini yeye haja@wahi kushiriki.

Linah alifunguka hilo alipokuwa akifanya mahojiani na paparazi wetu hivi karibuni akasema:
“Usagaji upo tena kwa mastaa wengi lakini kwa upande wangu mimi sijawahi kufanya hicho kitu na wala sitegemei kujihusisha nayo.”
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa