Mwanzo » » HIVI NDIVYO DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOIWAKILISHA YANZANIA KATIKA UZINDUZI WA KAMPEINI YA KILIMO AFRIKA KUPITIA ''COCOA NA CHOCOLATE''.

HIVI NDIVYO DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOIWAKILISHA YANZANIA KATIKA UZINDUZI WA KAMPEINI YA KILIMO AFRIKA KUPITIA ''COCOA NA CHOCOLATE''.

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday 2 April 2014 | 00:28


Wasanii kutoWasanii katika nchi zaidi ya 19 barani Afrika walioshiriki katika kutengeneza wimbo kwa ajili ya kampeni ya kuwasukuma viongozi kutumia asilimia 10 ya bajeti ya taifa katika maswala ya kilimo "Cocoa na Chocolate" wamezindua wimbo huo katika vituo mbali mbali vya radio Lagos nchini Nigeria.




Mwanamuziki kutoka South Africa anaefanya sana R&B, Vusinova.

Dontom kutoka Nigeria lakini makazi yake ni Paris,Ufaransa.




Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa