Mwanzo » » KESI YA MGANGA NA MSANII AT YAHAIRISHWA,CHANZO CHA KUAHIRISHWA NI AT MWENYEWE.

KESI YA MGANGA NA MSANII AT YAHAIRISHWA,CHANZO CHA KUAHIRISHWA NI AT MWENYEWE.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday 3 April 2014 | 22:20



Kesi inayomkabili Msanii wa miondoko ya mduara anayefanya vyema sana, kesi yake na mganga wa tiba za asili imehairishwa hadi tarehe 24 april baada ya AT kuchelewa kufika mahakamani
Kesi hiyo ambayo ilifunguliwa na Mganga wa kienyeji  Sharif katika mahakama ya mwanzo Buguruni kwa mara ya kwanza tarehe 10 mwezi march akiwa anamdai AT fedha baada ya kutumia huduma za mganga huyo bila kulipa na AT alikanusha madai hayo na Hakimua kaamua  kuipiga kalenda kesi hiyo hadi tarehe ya leo.
AT alifika Mahakamani akiwa amechelewa na akatoa sababu za msingi kwa nini amechelewa na Hakimu wa Kesi hiyo akamwelewa na kuamua kuiairisha lakini pia AT alisema mganga huyo kama kweli ana mdai aje na ushaidi wake kama vile mkataba wa risiti kama alitumia huduma hizo.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa