Mwanzo » » VJ PENNY NDIYE ATAKAYEZINDUA VIDEO YA QUEEN DARLEEN NA DIAMOND PLATNUMZ, HIVI NDIVYO MAMBO YATAKAVYOKUWA.

VJ PENNY NDIYE ATAKAYEZINDUA VIDEO YA QUEEN DARLEEN NA DIAMOND PLATNUMZ, HIVI NDIVYO MAMBO YATAKAVYOKUWA.

Imewekwa ma Unknown siku Tuesday 1 April 2014 | 10:03


Video  iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa sana na mashabiki wa msanii QUEEN DARLEEN ambaye pia ni dada wa Diamond Platnumz sasa itazinduliwa siku ya jumapili hii tarehe 06 April, 2014 Club Bilicanas.

Video hiyo iiyoandaliwa kwa kiwango kikubwa, inategemewa  kuleta mapinduzi makubwa sana katika tasnia ya video za muziki wa Bongo Flava hasa kwa ubunifu wake na kiwango kikubwa cha picha yenyewe kwa muonekano.

Kwenye video hiyo  wamo wasanii SHILOLE na DIAMOND PLATNUMZ, tena kwa mara ya kwanza Kaka na Dada (QUEEN na DIAMOND) watokea kwenye video moja ambayo imetengenezwa hapa hapa nchini Tanzania na muandaaji wa video JERRY MUSHALA.

Wasanii watakao msapoti QUEEN DARLEEN siku hiyo ya tarehe 06 April, ni pamoja na WAKAZI, BARNABA, MWASITI, AMINI, NASRY, VJ PENNY, RECHO, CINDY RULZ, PIMP SITTA, HERO na wasanii wenginge wengi utawaona kama Surprise, pia Bongo movies artists kama WOLPER, RADO na wengine kibao kwenye RED CARPET.

Kiingilio kitakuwa TZS. 10,000/- tu mlangoni pale Billcanas siku hiyo ya tarehe 06.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa