Mwanzo » » PNC BAADA YA KUPATA LABEL MPYA AMPELEKA OSTAZ JUMA MAHAKAMANI.

PNC BAADA YA KUPATA LABEL MPYA AMPELEKA OSTAZ JUMA MAHAKAMANI.

Imewekwa ma Unknown siku Tuesday 1 April 2014 | 21:23


Msanii wa muziki wa bongo fleva PNC miezi kadhaa kutokana na kile kilichotajwa kama kudhalilishwa vya kutosha na Ostaz Juma kupitia mitandao ya kijamii kwa kupost picha zilizokuwa zikimuonesha akiomba msamaha kwa Ostaz sasa mambo yaja kinyume na maji yamfika shingoni Ostaz Juma.


Ikiwa leo ni siku ya wajinga Dunia tunafurahi sana kwa wewe kutembelea blog yetu na kama umepatwa kuwa miongoni mwa walioingia box ya kudanyanywa basi share na washikaji wenzako nao wapatikane.

Kuwa na siku njema na endelea kutembele blog yute-ASANTE.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa