Mwanzo » » WEMA SEPETU AOGOPA KUZUNGUMZIA TIMBWILI LAKE NDANI YA GLOBAL PUBLISHER NA KUDAI ANASHOOT.

WEMA SEPETU AOGOPA KUZUNGUMZIA TIMBWILI LAKE NDANI YA GLOBAL PUBLISHER NA KUDAI ANASHOOT.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday 3 April 2014 | 11:16


Wema Sepetu akiwachamba waandishi ambao hawako pichani 

Bongo Movie Star Wema Sepetu Juzi majira ya saa nane mchana Alivamia ofisi za Magazeti ya Udaku (Global Publishers) kwa nia ya kuwasuta waandishi, Wema alikua ameongozana na timu yake ya Endless Fame na alipanga yote yatakayo tokea siku hiyo aje kuyaonyesha kwenye kipindi chake cha TV kinachoruka kupitia EATV alipofika pale Camera zake zilizuiwa zisichukue picha na kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kimedai kuwa Malalamiko ya Wema yalitokana na yeye kuandikwa kwenye magazeti eti amefulia na ishu iliyoandikwa hivi karibuni kuwa Boy friend wake msanii wa bongo flava Diamond eti anatamani kuwa shoga, na ameshaanza kama walivyoanzaga kina Elton John na Michael Jackson, inasemekana lakini
Nilipomuuliza Wema kuhusu habari hizi alikausha kama hajui lolote lile, ila ukweli ndo huo na tusubiri In My Shoes atarusha mkanda mzima ulivyokua.
Lakini Dada Wema unataka Waandishi tuandike nini au tuzungumzie nini kwenye Radio na Tv? kwa sababu mwandishi kabla ya kuandika anakua kishafanya utafiti, basi wewe thibitisha kuwa taarifa hizo kama si za kweli... ili ukate mzizi wa fitina. Waache Ma paparazi walaleeeee............
Picha hiyo hapo juu imepigwa kwa siri kutoka kwa Snitch mzuri mzuri wa Gazeti la makorokocho ambaye alikuwepo eneo la tukio.
Skiza Interview ya Soudy Brown na Wema Sepetu Hapo Chini 


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa