Mwanzo » » HONGERA KWA KILI MUSIC AWARDS 2014.

HONGERA KWA KILI MUSIC AWARDS 2014.

Imewekwa ma Unknown siku Monday 5 May 2014 | 12:14

Kwa muelewa hatakubali kupewa heshima isiyo ya kwake na akipewa ataipokea huku nikiweka wazi nani anastahii kupewa na endao mtoaji akishindwa kunielewa MUELEWA anammaanisha nani apewe heshima basi asiti sisiti kutoa kwa mkono wake Heshima kwa kazi yake nzuri anayoifanya.

kwa waliostaajabu kwaninI Man Walter alipewa tuzo kama mtayarishaji Bora na Sio Sheddy Clever inabidi wajiulize ni nani mtayarishaji iliyetengeneza hit kadhaa za kufatana za Lady Jaydee na wakipata jibu basi wajiulize kuwa ukimtoa @AY ni msanii gani mwingine kavuka mipaka ya Afrika Mashariki kama Diamond Platnumz na hapo tukubali kuwa kwa silimia kadhaa Team ya Kili Music Awards imeanza kugundua mapungufu yaliyokuwa yakitokea kwa muda mrefu na tunategemea mazuri na yenye haki zaidi miaka kama kumi ijayo.

HONGERA KWA KILI MUSIC AWARDS 2014.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa