Mwanzo » » TAZAMA PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA TUKIO LA UCHUKUAJI WA TUZO ZA KILI MUSIC 2014 AWARDS USIKU WA JANA.

TAZAMA PICHA ZA MATUKIO MBALI MBALI KATIKA TUKIO LA UCHUKUAJI WA TUZO ZA KILI MUSIC 2014 AWARDS USIKU WA JANA.

Imewekwa ma Unknown siku Sunday 4 May 2014 | 13:04

Diamond Platnum ameendlea kuthiilisha kuwa yeye ni mkali na nimsanii namba moja kwa sasa nchini Tanzania baada ya Usiku wa Jumamosi kuondoka na Tunzo Saba ambazo alikuwa ametajwa katika vipengele hivyo hivyo saba Diamond alikuwa ameambatana na Mchumba wake Wema Sepetu wengine walio chukua tunzo zaid ya Moja ni Fid Q,Weusi
IMG_8979
IMG_9190
IMG_9220
IMG_9225
IMG_9284
IMG_9289
IMG_9297
IMG_9318
IMG_9330
IMG_9421
IMG_8980
IMG_8984
IMG_8988
IMG_9021
IMG_9054
IMG_9071
IMG_9073
IMG_9153
IMG_9165
IMG_9171
IMG_9182
Tazama orodha nzima ya washindi wa tuzo hizo.
Wimbo bora wa mwaka
Number One – Diamond
Mwimbaji bora wa kike – kizazi kipya
Lady Jaydee
Muimbaji Bora wa kiume – Kizazi Kipya
Diamond
Muimbaji bora wa kike taarab
Isha Ramadhan
Muimbaji Bora wa kiume – Taarab
Mzee Yusuf
Muimbaji bora wa kiume – Bendi
Jose Mara
Muimbaji Bora wa Kike – bendi
Luiza Mbutu
Msanii Bora wa Hip Hop
Fid Q
Msanii Bora Chipukizi Anayechipukia
Young Killer
Rapa Bora wa Mwaka – Bendi
Furguson
Mtumbuizaji bora wa kike muziki
Isha Ramadhani
Mtumbuizaji bora wa kiume wa muziki
Diamond
Mtunzi Bora wa Mwaka – Hip Hop
Fid Q
Video Bora ya Mwaka
Number One – Diamond
Bendi ya Mwaka
Mashujaa Band
Kikundi cha Mwaka cha Taarab
Jahazi Modern Taarab
Kikundi cha mwaka cha kizazi kipya
Weusi
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Taarab
Enrico
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Kizazi kipya
Man Walter
Mtayarishaji bora wa nyimbo wa mwaka – Bendi
Amoroso
Mtunzi Bora wa Mwaka – Taarab
Mzee Yusuf
Mtunzi Bora wa Mwaka – Kizazi Kipya
Diamond
Mtunzi Bora wa Mwaka – Bendi
Christian Bella
Wimbo bora wa Kiswahili – Bendi
Ushamba Mzigo – Mashujaa Band
Wimbo bora wa reggae
Niwe na Wewe – Dabo
Wimbo bora wa Afrika Mashariki
Tubonge – Jose Chameleone
Wimbo bora wa Afro Pop
Number One – Diamond
Wimbo bora wa Taarab
Wasiwasi Wako – Mzee Yusuf
Wimbo bora wa Hip Hop
Nje ya Box – Nick wa Pili f/ Joh Makini & G-Nako
Wimbo Bora wa R&B
Closer – Vanessa Mdee
Wimbo Bora wa Kushirikiana
Muziki Gani – Nay wa Mitego ft Diamond
Wimbo bora wa ragga/dancehall
Nishai – Chibwa f/ Juru
Wimbo bora wa zouk /rhumba
Yahaya – Lady Jaydee
Hall of FAME Award
Hassan Rehani Bichuka
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa