Mwanzo » » DJ KHALED KUJA NA PROJECT MPYA YA HEADPHONES ZAKE 'WE THE BEST SOUND'.

DJ KHALED KUJA NA PROJECT MPYA YA HEADPHONES ZAKE 'WE THE BEST SOUND'.

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday, 2 July 2014 | 16:52

DJ Khaled amefuata nyayo za wasanii ambao tayari wana bidhaa ya headphones sokoni kama Dr Dre (Beats by Dre), 50 Cent na Ludacris pia. Biashara hii ndiyo iliyompa Dre Mchongo uliomfanya kuwa billionaire wa kwanza mwana hip hop.
dj-khaledddd

DJ huyo ametangaza rasmi kuanzisha bidhaa hiyo ya headphones na kueleza kuwa ameamua kushirikiana na Heads Audio& Bang Olufsen kwa lengo la kutengeneza headphones bora zaidi kuwahi kutokea katika soko la muziki.
Swahiba wa DJ Khaled, Fat Joe ndiye msanii wa kwanza kuwa balozi wa hiari wa ‘We The Best Sound’.
We-The-Best
Wengine waliompa sapoti ni French Montana na Flo rider.
French-Montana1

Hivi ndivyo alivyaondika DJ Khaled Instagram na kuambatanisha na picha ya Headphones zake:
“Today I am proud to announce that I have partnered with Heads Audio & Bang Olufsen to create the best audio in the market place, We The Best Sound. We The Best Sound represents the very best in audio entertainment.”
“Alongside the prestigious Bang Olufsen brand, We The Best Sound and Heads Audio will provide the listener with the highest quality sound in electronic audio entertainment and will continue to carry on the tradition in excellence set by Bang Olufsen.”
“It will also provide the listener a chance to hear audio the way I hear it when creating my music. I take pride in crafting a sound based on time, care and most importantly the best quality sound on the planet. Embark on this journey in sound with me…you won’t be disappointed. We The Best Sound, the brand you can trust. H6 with Dj Khaled by B&O @wethebestmusic @wethebestsound @headsaudio @beoplay #GODISTHEGREATEST!”
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa