Mwanzo » » HII NDIO RATIBA YA ROBO FAINALI YA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2014.

HII NDIO RATIBA YA ROBO FAINALI YA MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2014.

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday, 2 July 2014 | 17:02


Raiba ya mechi za robo – fainali imetoka. Mechi ya kwanza ni saa 1:00 usiku, ya pili 5:00 usiku. Muda huo ni kwa saa za Afrika Mashariki.
Ijumaa, Julai 4.
Ufaransa v Ujerumani : Saa 1 usiku
Brazil v Colombia : Saa 5 usiku
Jumamosi, Julai 5.
Ubelgiji v Argentina : Saa 1 usiku
Uholanzi v Costa Rica : Saa 5 usiku.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa