TID |
Kwakile mbacho kimedhaniwa na TID inawezekana ni kweli kabisa ndicho mwannadada Ray C pengine alitaka kumwambia au ni biashara zao za muziki tu TID ndiye aliyetafsiri tofauti na mwisho akamporomoshea maneno mazito Msanii Rehema Chalamila alimaarufu kama Ray C.
Kupitia mtandao wa picha Ray C aimuomba TID japo wazungume na katika kujibu ombi la Ray C TID alimwaga upupuwa maneno yasio ya kumuheshimu na kumunjia heshima Ray C kiteno ambacho wamshabiki walioweza kuona kitendo kile walianza kumshambulia TID.
Inawezekana TID alijua kabisa kuwa Ray C anataka kumuingizia habari za kampeni ya kuachana kabisa na matumizi ya maadawa ya kulevya na ndo maana akawa mbogo na hapa chini ni nukuu ya alichokiandika Ray C na majibu mazito yaliyotoka kwa mnyama TID.
RAY C: “Come let’s talk Tid ur the best musian in east Africa pls lets talk @tidmnyama.” Aliandika Ray C.
TID: “B*tch leave me alone am not ur type also I don’t need shit from you. Ur mistake is urs nakuomba can u just f**k off, help ur boyfriend, I have never liked you, full stop.”Ameandika TID.
Post a Comment