AFANDE SELE |
REGNALD MENGI |
Katika Taifa la Tanzania limeingia katka giza ambapo shirika la umeme Tanzania Tanesco walitangaza mgao uliopelekea wananchi baadhi yao katika baadhi ya mikoa mgao huo umezidi kwa kukatika kwa umeme mfululizo wa masaa 14 mpaka 15 hivyo kutokana na hilyo hali mfanya biashara na maliki wa IPP MEDIA Reginald Mengi na Rapper toka Morogoro Sele,an Msindi ''AFANDE SELE'' wameungu kuptia mitandai ya kijamii wakiweka uzito walawama kwa waziri wa nishati na madini waziri MUHONGO.
POST YA AFANDE |
POST YA MNEGI |
Post a Comment