Mwanzo »
» NGOMA YA STAMINA FT CRISS WAMARYA ''MGEKUWEPO'' UMEACHIWA KIMAKOSA BILA RUHUSA YA STAMINA MWENYEWE.
|
STAMINA |
Wimbo wa Stamina Ft Criss Wamarya unaoitwa Mngekuwepo umetoka kimakosa, jana wimbo huu uliwekwa hapa katika website hii mda huu nimetoka kupigiwa simu na Stamina na kuniambia huu wimbo haujatoka kabisa wala hakuwa na plani ya kutoa wimbo huu, Stamina anasema wimbo huu ulikuwa unatakiwa uwe kwenye album na sio wakutolewa. Wimbo ambao alikuwa anatakiwa kuutoa ni mwingine kabisa na utatoka wiki ijayo, Stamini anawaomba radhi mashabiki wake kwa kitendo hiki cha kutolewa huu wimbo na mtu asiyemjua kabisa.
Post a Comment