|
ABRAH MBILIMBILI |
Baada ya lile collabo la yeye na Hakim Five sasa Abrah Mbilimbili apika mkono mwingine ikiwa ni chini ya Platnum Rec na akiwa kaamua kufanya na wakike dada mpya kabisa kusikika katika mwaka huu wa 2014 ni wakuitwa Sabrina likiwa ni track la party flan JINA ''INGIA KATI'' kwasababu ni wimbo uliokatika miondoko ya kuchezeka na linatazamiwa kuwapagawisha sana wapenda kujirusha zaidi na wale wote wanopenda muziki mzuri.
DOWNLOAD ''INGIA KATI'' ABRAH MBILIMBILI Ft. SABRINA HAPA.
Post a Comment