Mwanzo » » KALA JEREMIAHA-NIMEKATA KIU YANGU KWA JUMA NATURE.

KALA JEREMIAHA-NIMEKATA KIU YANGU KWA JUMA NATURE.

Imewekwa ma Unknown siku Monday, 27 January 2014 | 21:55

Kala Jeremiah
Rapper anayewakilisha jiji la mwanza mshindi wa tuzo kadhaa kama msanii aliyewahi kufaya wimbo bora wa hip wa mwaka pia ambaye kwa sasa anatamba na mkwaju unaojulikana kama wale wale ameweka wazi kuwa katika maisha yake ya muziki amekuwa akijiuliza ni kwa namna gani aataweza kufanya kazi na msanii Juma Kassim Nature a.k.a Kiroboto lakini ndoto hiyo imetimia mpaka sasa ameweza kufanya hivyo kwa mpaka kufika sasa wamefanya kazi ya pamoja yeye na Juma Nature ingawa hakutaka kuiweka waji inaitwaje na amefanya kwa mtayarishaji gani ila tu soon itatoka.


Juma Kassim Nature na Kala Jreremiah



Wawili hawa nako na mashabiki lukuki kwasasa na bila shaba wengi wa mashabiki wa muziki wa hip hop ya bongo wako katika mkao wa kula wakisubiri kazi ya kushiriana ya wakali hawa.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa