Mwanzo » » BANK BUDHA AWASHAURI WENYE KIU NA USTAR

BANK BUDHA AWASHAURI WENYE KIU NA USTAR

Imewekwa ma Unknown siku Thursday, 23 January 2014 | 15:27

BANK BUDHA NA TUNDA


BANK BUDHA NA GODZILLAH

BANK BUDHA NA A.Y
Msanii miliki wa aina ya muziki ambao kauleta mweyewe unaojulikana kama MAKOPA LOVE MUSIC ambao uko katika mtindo wa michano ya beat za kuimba imba na mixer undishi wa malavidavi kama upekee wa muziki ambao yeye ameamua kuufanya na kwa sasa amesha achia mikono kadhaa kama ''search for love'', na ngoma nyinine kali ikiwemo hii mpya kabisa inayojulikana kama ''SWEETHEART(KATIKATI)'' akiwa kashirikiana vizuri na binti Mkali wa vocal ''ANNETHE''.

Bank Budha amesekuwa wasanii wawe wavumilivu kwa maana mweye ana uwezo tu hivyo uvumilivu utampeleka katika nafasi yake kuliko msanii kuwa na papara jamabo ambalo ni rahisi kwa mtu kukata tamaa haraka kama atakuwa na pupa na jamabo na lisitokee katika muda anaolihitaji.

Kwasasa Bank Budha ameyandaa mengi kwa ajili ya mashabiki hivyo amewahaidi wadau na mashabiki wamauziki wa makopa love anaufanya yeye kusubirii mengi mazuri kutoka kwake kwa mwaka huu w a 2014.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa