YOUNG KILLER MSODOKI
Young Killer Msodoki ni msanii mchanga katika Rap ya muziki wa kizazi kipya na mweye uwezo mzuri kiuandishi na michano kitu ambacho waliowengi katika game kuitumia nafasi hiyo kumdiss katika ngoma zao na ikiwa lengo ni kusikika na kingine cha pekee ni msanii ambaye akina dada wamekuwa wakionekana pia kumuelewa zaidi maana kupitia mitandao mingi ya kijamii inayojulikana wamekuwa wakipost mashairi yake isahara ya kuwa wanamuelewa zaidi tofauti na wasanii wengine wa hip hop Bongo.
Uwezo wake huo huo umemuwezesha kubadilisha maisha yake tangu tu amekuwa katika usimamizi wa manager wake MONA GANGSTAR ambaye ni moja ya wadau wa muziki kama mtayarishaji katika studio za classic sound .
Young Killer baada ya kutoa ngoa ya Dear Gambe na Mrs Super zikazuka nyimbo nyngi huku web tofauti zikisema kuwa ameachia ngoma mpya stories ambazo sio z kweli na ukweli ni kuwa zile ngoma kama MCHANA WA GIZA ni ngoma ambayo aliirecord kitambo na baadae ikaachiwa bila yeye kujua na ile ya MESSAGE TO GOD ni track aliyoifanya kama ngoma ya kumsupport msanii wake hivyo sio ngoma yake ila tu kwa sasa YOUNG KILLER yuko katika maandalizi ya kuachia ngoma yake itakayo kwenda kwa jina ''MY POWER'' hivyo stay tune.
Post a Comment