|
BOW WOW |
Msanii wa rap nchini marekani rapper Shad Gregory Moss maarufu kama BOW WOW aliyechini ya label kubwa ya YOUNG MONEY CASH MONEY BROTHERS(YMCMB) ambaye amewahi kukumbana na kashfa ya kuwa shoga baada ya kipindi flan account yake ya Twitter kupost picha iliyokuwa ikionesha kama BOW WOW alionekana kalalia mwanaume mgongoni stories zilizoisha kimya kimya lakini gunzo lile lilimchafua sana kwasababu picha ile ilionesha wazi wazi kuwa kuna ushoga ulikuwa ukiendelea kati yake na mwanume yule aliyekuwa amelaliwa.
|
Hii ndio picha ambayo iliwahi kumzushia taarifa za kuwe yeye ni shoga. |
BOW WOW alimeonekana zaidi kujikita katika utangazaji zaidi kuliko muziki baada ya jana tu kusambaa kwa taarifa za kuwa kafukuzwa kazi kosa la kufuja pesa katika kampuni na ambapo zilisha zagaa taarifa kuwa amefukuzwa kazi na hatuta mshuhudia tena akihost show ya 106&Park inayorushwa kupitia kituo cha kimataifa cha burudani cha BET.
Hiki ndicho alichokiabdika kupitia kukurasa wake wa FACEBOOK,Akikanusha...
Post a Comment