|
D' MIKE |
Rapper toka nchini Tanzania mwenye makazi yake nchini kenya anayetamb ana ngoma kadha pamoja na LIFE SO HARD Ft SAPPY na ile aliyotangaza kumsaka mchumba kupitia wimbo huo iliyokwenda kwa jina la ''NINAYE MTAKA Ft LV DASH toka kenya zote zikiwa ni chini ya utayarishaji wa homeboyz production inayofanya vizuri nchini Kenya amewachana wale wanokurupuka na kuweka wazi wazi mambo yao ya siri mtandaoni na kuhapa kutowaheshimu hata kidogo.
Hayo ameyasema kupitia account yake ya facebook...soma alichokiandika hapo chini...
Post a Comment