Mwanzo » » HIVI NI VIPANDE VILIVYOMPA WAKATI NGUMU NIKKI WA II KATIKA VIDEO YA NJE YA BOX

HIVI NI VIPANDE VILIVYOMPA WAKATI NGUMU NIKKI WA II KATIKA VIDEO YA NJE YA BOX

Imewekwa ma Unknown siku Saturday, 25 January 2014 | 15:08

NIKII WA II

HIVI NDIO VIPANDE VILIVYOMPA WAKATI MGUMU

BAADA YA KUKAZIWA NA NISHER

ALIENDELEA KUKAMILISHA ALICHOAGIZWA NA DIRECTOR NISHER
Video ambayo imechukua muda zaidi ya miezi ka daakuiandaa chini ya mtayarishaji na director Nisher na mwisho kabisa ikatka ikiwa na ubora wa aina yake na ni video ambazo zimepokelewa vizuri kwa mashabiki wa muziki wa hip hop wa kitanzania.

Video ya wimbo huo ilipokuwa ikiandaliwa ilimpa wakati mgumu sana Nikki wa II katika introduction ya video ya wimbo huo ambapo Nikki alikuwa akishindwa kuigiza vile Nisher anataka kile kipande cha mwanzo anapoonekana anachat na mpenzi wake kupitia simu...Nikki amebainisha kuwa vipande vile vilimsumbua hata kufika hatua ya kutaka kukataa kucheza ile party lakini Nisher alimkazia na mwisho akakamilisha party ile.

Ngoma ni ya wakali watatu akiwawemo Nikki mwanyewe,Joh Mikini na G nako.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa