Mwanzo » » RAPPER GENTRIEZ AMPOTEZA MAMA YAKE MZAZI.

RAPPER GENTRIEZ AMPOTEZA MAMA YAKE MZAZI.

Imewekwa ma Unknown siku Monday 27 January 2014 | 10:12

GENTRIEZ MWAKITABU
Rapper anayetamba na ngoma kama ARUSHA Boy ngoma inayomtanzaga kama rapper toka Arusha na mwisho akatoka na bidhaa ya mavazi kama t-shirt na vitop kwa akina dada wanavyowakilisha ARUSHA BOYS na ARUSHA GIRLS,ameskikitika leo asubuhi kumpoteza mama yake mzazi aliyefariki huko Arusha na ametoa taarifa kuwa msiba uko ARUSHA hivyo ni vyema watakao weza kufika kumfariji mwenzetu katika kipindi hiki kigumu kwa GENTRIES MWAKITABU.

MAMA ENZI ZA UHAI WAKE.

R.I.P MAMA

Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa