JUAN MATA KATIKA UTAMBULISHO |
Maamuzi hayo yameafikiwa baada ya kikao cha viongozi na waandishi wa na kumtambisha Rasmi mchezaji Juan Mata kuwa mchezaji wa club ya Manchester United na baada ya utambulisho huo mechi ya kwanza baada ya utambulisho huo itakuwa ni Manchester United dhidi ya Cardliff City.
Post a Comment