Mwanzo » » MAUNO YA SHILOLE YA MPATIA MCHUMBA WA KIZUNGU TOKA UINGEREZA.

MAUNO YA SHILOLE YA MPATIA MCHUMBA WA KIZUNGU TOKA UINGEREZA.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday, 30 January 2014 | 11:05

SHILOLE NA MCHUMBA WAKE ANKAR
Muigizaji na msanii wa muziki wa Bongo Fleva Zuwena Mohamed alimaarufu kama Shilole au Mamaa wa mauno ameweka wazi mahisiano yake na mwanaume wa kizuungu amabye ameelea kuwa mpaka kukutana naye ilikuwa ni katika show yake ya nchini Uingereza mabapo mzungu huyo aliyetambulishwa kwa jina moja la Ankar imesemwa kuwa alimuona Shilole katika show na akampenda alkini imeonkana wazi kuwa mauno yalimchaganya mzungu huo na inawezekana kuwa chanzo cha mahusiano yao ni muno ya SHISH BABY.

Imesemekana kuwa safari za mara kwa mara za Shilole kwenda uingereza muda mwingine ni safari ya upeleka mahaba kwa mchumba wake huyo wa kizung na jamabo amabalo tumejiuliza bila kupata jibu ni kuwa je' Shilole mpaka nakutana na mzungu huyu hakuwa katika mahusiano au kuna mbongo alipigwa chini ili mzungu apate nafasi??...sisi hatujui lakini Shilole amesema kuwa anampenda mchumba wake na akwasasa pale ndo amefika kabisa na hana aja ya kupindisha pindish.

Swali lingne ni kwamba ,Je kunuwezekano wakati mchumba huyo wa Shilole hakuwa na mchumba kipindi kile anakutana na Shilole katika show au alikuwa katika mausiano na mtu bali tu aliyekuwa amepigwa chini ili Shilole apate nafasi...Pia kwa taarifa za kuaminika ni kuwa Mzungu huyo anahuskika katika uandaaji wa shows baadhi zinazofanyika Uingereza na msanii Shilole.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa