ANNA PETER |
Binti msomi anayefanya kazi katika kituo cha habari cha EA RADIO leo anashehekea maika kadhaa ya kuzaliwa na na siku ya leo amepanga katika kusherekea siku hii basi ataachia wimbo wake wa tunaweza wimbo amabao uwawapa msukumo wale wa jinsia ya kike kuwa wanaweza na unaokwenda kwa jina la TUNAWEZA.
Wimbo huo ameuandika yeye wenyewe na ni chini ya studio za SEDUCTIVE REC na producer MR-T-TOUCH
COVER YA WIMBO HUO |
Post a Comment