RICK ROSS |
Jengo hilo lililoko Atlanta Georgia jengo ambalo kabla ya kuingia mikononi mwa Rapper Rick Ross awali lilimilikiwa na Bondia Evender Holyfield ambaye ameamisha makazi yake.
Mansion hiyo yenye ukubwa wa 54,000 square feet na yenye kila kitu ambacho kama mwadamu mpenda maendeleo ungependa nyumba yko iwe na vitu hivyo ikiwa ni pamoja na swimming Pool kubwa tu,Home movie theatre,uwanja wa Basketball,Dinning room yenye uwezo wa kuchuku watu 100 kwa pamoja.
Haikuwekwa wazi kuwa nikiasi gani kimetumika kununua Mansion hiyo lakini mapema mwaka jana Evender alitangza kuweka jengo hilo sokoni na kutaja Dola million 14 kama bei ya kununua.
Na inasemekana gharama za kuendesha jengo hilo kwa mwaka haipungui dola million 1,pamoja na Bill za umeme kama matumizi ni ya kawaida ni $$ 17,000.
Post a Comment