Mwanzo » » AUNT EZEKIEL NDANI YA BONGO FLEVA LAKINI BADO BONGO MOVIE MOVIE YUMO.

AUNT EZEKIEL NDANI YA BONGO FLEVA LAKINI BADO BONGO MOVIE MOVIE YUMO.

Imewekwa ma Unknown siku Friday, 28 February 2014 | 20:48


Tukiwa tunazidi kuona wasanii wa Bongo movie wanazidi kuingia katika sanaa ya Bongo Fleva huyu ni mpya mwingine aliyetangaza kuingia rasmi katika muziki,ni Msanii anayetisha  katika tasnia ya Movie za kibongo za lugha ya kiswahili Aunty  Ezekiel ambapo ameelezea wimbo wake mpya ambao amefanya na hit maker wa ''Kimugina'' toka Kigoma Linex Linenga ambaye mwaka jana aliingia katika movie kwa kucheza movie moja na Aunty Ezekiel katika Movie itakayokwenda kwa jina la ''MWAJUMA'' na baada ya movie sasa kwaushirikiano kimuziki ngoma yao ya pamoja itajulikana kama ngoma imepew jina na ''Mguu kwa Mguu'' na moja ya sababu ya kilichomsukuma yeye kuingia katika Bongo fleva ni kujiongezea mashabiki pande zote yaani katika Bongo Movie na Bongo Fleva pia.

Muziki aliupenda kwa upande wa kusikiliza lakini kwakuwa amshauriwa na wadau wake wa karibu kufanya basi akaona hana budi kuigia na kuonesha uwezo wape pia huko na hii ngoma ilitegemewa kuachiwa mwkaa jana lakini kulingana na mambo kubana basi ameapanga kiachia ikiwa imetayarishwa chini ya mtayarishaji Mr. T-Touch chini ya studio za Seductive Rec.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa