Mwanzo » » PNC NA OSTAZ JUMA NA MSOMA WAINGIA STUDIO,PNC ANAANDA WIMBO.

PNC NA OSTAZ JUMA NA MSOMA WAINGIA STUDIO,PNC ANAANDA WIMBO.

Imewekwa ma Unknown siku Friday, 28 February 2014 | 16:21


Mbali na kile ambacho wadau wengi walikichukulia kama msanii PNC kudhalilishwa baada ya Ostaz Juma na Msoma kupost picha na video vilivyokuwa vikimuonesha PNC amepiga magoti na kumuomba msamaha na ili arudi chini ya usimamizi wa Mtanashati, PNC asamehewa na Ostaz Juma na wako stdio kuna ngoma inaandaliwa.

Sasa kituambacho kinashngaza zaidi ni kuwa PNC hakujali kwa kitendo cha OSTAZ JUMA kupost picha za yeye akionekana kuomba msamaha bali amenekana kujali zaidi kuendelea kufanya kazi na Ostaz jamba ambalo linatia mashaka tusijue wadau waipokeaje Ngoma hiyo ya PNC pindi itakapo toka.

Wimbo unaorecordiwa uatkwenda kwa jina la ''Thamani yangu'' na picha iliwoanesha wakiwa katika studio za Mazoo Rec hivyo soon ngoma itatoka chini ya usimamizi wake OSTAZ JUMA.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa