Hii ni moja ya matokeo ya watu wanaokurupuka na kujiita wasanii na madirector katika tasnia hii ya Movie Kibongo Bongo na jambo lingine ambalo limekuwa ni tatizo katika tasnia ni kukosa kuchukua watu wenye vipaji na kisomo angalau wao wanakimbilia wadada wenye maumbo na rangi zenye mvuto bila kujali uwezo.
Hapa kwa mwend wa namna hii katika tasnia hakuna njia za kwenda kimataifa kwasababu hali hii kwa wenzetu wanaojua tasnia na vigezo vizuri kuhusu sanaa watatudharau kwa sababu ya baadhi tu ya watu wanaojiita madirector na mwisho wantengenezamovie zenye dosari kibao bila kujali maadaili na madhara yatakayojitokeza katikajamii ikiwa jicho lao ni pesa tu.
ONYO: HII NI KWA WALE WENYE KUKURUPUKA NA KUINGIA KATIKA TASNIA INAYOZUNGUMZIWA BILA KUJIPANGA NA MWISHO TANZANIA INADHARAULIKA.
NI DARASA TU NA SIO KWA CHUKI WA LA UBAYA NA MTU YEYOTE.
Post a Comment