Mwanzo » » HUYU NI MSANII WA BONGO MOVIE NA BONGO FLEVA ALIYEPATA MTOTO WAKE WA KWANZA KWA KUBAKWA.

HUYU NI MSANII WA BONGO MOVIE NA BONGO FLEVA ALIYEPATA MTOTO WAKE WA KWANZA KWA KUBAKWA.

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday, 12 February 2014 | 17:34

SHILOLE

Kubakwa Ni jambo ambalo kila mmoja analifahamu lakini kwa ufupi tu ni kwamba ni kitendo ambalo sio kizuri kwa mtu yeyote na kubakwa ni jambo ambalo linaweza kutokea kwa jinsia zote mbali na kuwa waliowengi kuamini kuwa kitendo cha ubakaji kinaweza kutendeka kwa jinsia ya kike pekee na kusahau kuwa hata mwanamme anaweza kubakwa bali tu wengine ubakwa bila kujijua.

Shilole ni msanii ambaye ameonekana kuwa na kipaji kikubbwa kinacho onekana kumletea mashabiki wengi katika sanaa hapa Bongo kwakuwa amejizolea umaarufu kupitia smuziki wa Bongo Fleva na katika movie pia kwakuwa amekuwa na uwezo mzuri mbali na kuonekana kuwa mrembo wa rangi ya ngozi na umbo katika pande zote na hapa tutakupatia tukio lililomkuta enzi za utoto wake.

Hitmaker wa ngoma kibao ikiwa mpaka sasa amesharecord ngoma nne na pamoja na ''DUME DADA'',''LAWAMA'',''VIUNO'' na ''DUDU'' na kufikia hivi sasa Shilole ameshacheza movie takribani  17 mpaka hivi sasa ambazo zimesha toka katika tasnia hii ya Bongo Movie.

Shilole ni mwanamke muangaikaji mbali na kupitia maswahibu katika masiha yake kama mtoto wa kike na mpaka sasa Shilole anamiliki maduka mawili ya nguo na yuko mbioni kuanzisha biashara tofauti zitakazo weza kumuwezesha yeye kuendesha masiha yake kwa kuwa ni mama mzazi wa watoto wa weili wa kike ambao anawasomesha kwa kipato chake anachokipata kupitia muziki  wake,movie anazocheza pamoja na biashara zingine halali.

TUKIO LA SHILOLE KUBAKWA MPAKA KUPATA MTOTO.

Shishole katika umri wa miaka 14 akiwa akiishi na mama yake mdogo alikuwa na tukio la yeye kubakwa na mtu ambaye alisemekana kuwa na umri zaidi ya miaka 20 na alifanya tikio hilo kwa Shilole kwa madai ya kuwa alikuwa akimtaka  sana yaani alimpenda ingawa haikubainika kama alikuwa amemtamani kwasababu mpaka sasa mwnaume huyo aliyembaka hawakuweza kuoana ka kuisha pamoja ingawa mwanzoni waliishi kwa kipindi kifupi.

Mwanaume ambaye jina lake limehifadhiwa kwasababu hata likitajwa litakuwa halina maana kwani mwanaume huyo mpaka sasa yuko huru mbali kuwa Taifa hili la Tanzania lina sheria zinazowalinda wananchi wake lakini kwa Shilole haikuwwa hivyo,mwanaume huyu aliyemvizia akitokea mtoni kuteka maji alichotwa mtama na mwanume kitendo ambacho kimsababishia Shilole kuanguka kwa kishindo na kuponyokwa na ndoo ya maji kisha mwanume yule kumshika kwa ngumu na kuzitoa nguo zilizokuwa zikimstili Shilole naye akatoka kiungo chake cha uzazi ikiwa lengo ni kumuingilia kimwili na akafanikiwa kumuingilia baada ya kumzidi nguvu shilole. 

Kilichofuata ni Shilole kwenda nyumbani akilia na kustaki lakini zaidi hakusikilizwa na Sahangazi yake kumtandika vibaya kwa madai yakuwa amafanya kwa kupenda na kwakuwa Shiloe alikuwa mtoto hakuwa na jinsi ya kujitetea na zaidi aliishia kulia na kukosa la kufanya na nadni ya kipindi kirefu tangu kutokea kwa tukio la yeye kubakwa alipelekwa Hospitali na katika vipimo aligundulika kuwa yuko na mimba ya miezi ya saba ba tukio la kusikitisha zaidi pia Daktari aliyempima pia alimtaka kimapenzi baada ya kumuona Shilole na kuanza kumtamani.

...
Melezo pia na sauti ya Shilole kuhusu hili utaipata kupitia hapa hapa hapa.
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa