Mwanzo » » HIZI NI STYLE ZA MASTAR WA BONGO KUFANANA MBALI NA KUWA KILA MMOJA KUWA NA ID YAKE.

HIZI NI STYLE ZA MASTAR WA BONGO KUFANANA MBALI NA KUWA KILA MMOJA KUWA NA ID YAKE.

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday, 26 February 2014 | 21:39

Katika ulimwengu wa fashion kila kunapokucha  kuna kila mitindo ambayo uja na kuondoka lakini kwa watu maarufu wa Bongo kuna zile fashion ambazo zinawahusu kwa sana sana kwakuwa kila fashion zinazoibuka kila mtu maarufu anafata na moja ya mtindo uliowashila na kila mmoja anayepata nafasi kujiingiza katika mtindo huo ni style ya ''way hairCut''


''SunGlass'' Huu pia ni mtindo ambao waliowengi hawakupitwa kwasasa na wanahusika kwa kiasi kikubwa kujitupia katika uvaaji wa miwani ya jua iliyopo katika fashioni kwa sasa na ambaye ameonekana sana sana akiwa katika uvaaji wa miwani hiyo ni Mwandada wema Sepetu na wengine kibao wamehusika sana.

''Red sneackers'' Ni aina ya viatu vilivyoko katika mtindo na mara nyingi katika shows zao wasanii hasa wakiume utawaona wakiwa ndani ya viatu vya aina hiyi na hiyo ni kumaanisha fashion iko nao sambamba na kutisha katika kung'aa na miongoni mwa ambao kwa mara nyinginwamekuwa akionekana ndani ya Red Sneacker ni pamoja na Diamond Platnumz.


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa