|
Wanandoa wakionyesha upendo |
Wanaume wenye mafanikio ya kiasi ya kawaida wenye makazi yao nchini Sweden ikiwa wote ni raia wa nchi ya Uganda wameamua kufunga ndoa yao mbele ya hadhara ya wasweden wa kike na wakiume huku wakionyesha mapendo na matabasamu yakitawala sura za waliofika katika sherehe za ndoa ya wawili hao bila uoga wala hofu ya mungu.
Kama ni wewe na umepata mualiko wa sherehe ya ndoa kama hii unaweza kufanya nini au
Post a Comment