Mwanzo » » NEW SONG(AUDIO) WAKUBWA WA JIJI-ZIPATE TUKUJUE

NEW SONG(AUDIO) WAKUBWA WA JIJI-ZIPATE TUKUJUE

Imewekwa ma Unknown siku Sunday, 9 February 2014 | 15:33

Kama unavyoua kuwa tabia ya mtu utaiua pindi tu akizikamata,inafahamika kuwa kuwa kuna watu ambao wakishika chapaa tabia zao ubadilika na inamaanisha kuwa wata kuwa tofauti kitabia pale watakapo kuwa hawana hivyo kutoka na na hali hiyo ya maisha ya watu kitabia na sasa basi kundi la wasanii wanoiwakilisha Rock City wakujihita wakubwa wajiji wakiwa na mwanadada mwenye michano mitamu ambaye mara zote yeye ujihita Rock City Chick lakini mbali na muziki ni mfanya kazi kama mtangazaji anayefahamika kama Natty E ilikwa haijajulikana kama ameugana na kundi hili la wakubwa wa jiji...amefanya makubwa katika ngoma hii mpya kabisa iayokwenda kwa jina ZIPATE TUKUJUE...

Download hapa CLICK HAPA
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa