MB DOGGY |
Kuna baadhi ya watu walikwisha amini kuwa Mb Doggy ameacha muziki ambapo alianza kutokea katika Bongo movie na baada ya muda upotea kabisa jambo ambalo waliowengi walisha amainishwa na ukimya wake kuwa kuna uwezekano amecha na mambo ya muziki kimya kimya.
Basi waliokwisha amni hivyo ondoa kabisa mawazo hayo kwasasa kwasababu sasa Mb Doggy amekuja na mkwaju mpya kabisa ambao inakwenda kwa jina UMENUNA na idea ni ndoto ya Mb Doggy kutembea na rafiki ya mke wake na baadae anamsimulia mke wake ambacho ndio kitendo cha mkewe kununa na akizungumzia idea hii kama ni story ya kweli amekataa na kusema kua ni idea tu na wimbo huu unatazamiwa kuwa kubwa kwa mwaka huu wa 2014 na hii ifahamike kuwa amekuwa kimya kwa zaidi ya miaka minne bila kuzungumza chochote wala kusikika katika collabo lolote wala kutokea kwa kutoa support kwa video ya msanii yeyote.
Inafahamika kuwa ukimya wa msanii inabidi akiukata basi aukate kwa ngoma kali na hii mashabiki wanaojua muziki wa Mb Doggy ndio atakao sema kama amekata ukimya au amerudi kusikika tena nasio kuachia ngoma kali na kikubwa we kama shabiki na mtu anayesupport muziki wa Kibongo basi usisite kushuka hapo chini na UDOWNLOAD na unaweza kushare na washikaji kwa lengo la kusupport Bongo muziki.
DOWNLOAD HAPA CHINI...
Post a Comment