Mwanzo » » (COMING SOON) M-RAP FT JUX NA HII NI KUTOKA NJE YA B-HITS.

(COMING SOON) M-RAP FT JUX NA HII NI KUTOKA NJE YA B-HITS.

Imewekwa ma Unknown siku Wednesday, 12 March 2014 | 20:33

Baada ya kumalizana kimkataba kati ya M-Rap na record label ya B-Hits chini ya Pancho Latino na Herm B sasa rapper M-Rap amekuwa huru na ngoma yake ya kwanza kusikika kutoka kwake itakwenda kwa jina ''USIENDE MBALI'' nagoma ambayo amemshirikisha mkali wa hit Juma Jux ambapo mkwajuu umefanyika chini ya Studio za AM Rec na mtayarishaji sio Manecky bali ni mdogo wake na Manecky anajulikana kama Bob Manecky ambaye pia ni mkali wa touch kwakuwa amehusika kinoma noma kuandaa ngoma mpya ka mkali Jux inayokwenda kwa jna ''NITASUBIRI'' Hiyo kupitia mitandao na interviews kadhaa anazofanya M-Rap Lion anawasihi wada wa muziki wa kizazi kipya kuwait for this HIT TRACK(USIENDE MBALI) Ft. JUX).
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa