Mwanzo » » DIAMOND PLATNUMZ MAPENZI YAMFANYA AVAE WIGI LA WEMA SEPETU NA HIVI NDIVYO ALIVYOTOKEA.

DIAMOND PLATNUMZ MAPENZI YAMFANYA AVAE WIGI LA WEMA SEPETU NA HIVI NDIVYO ALIVYOTOKEA.

Imewekwa ma Unknown siku Thursday 27 March 2014 | 00:21



Msanii wa Bongo Fleva Nasib Abdul ''Diamond Pltnumz'' ambaye aliachana na ''Wema Sepetu'' na baada akaona haiwezekani aishi mbali na Wema na mwisho wakahamua kurudiana na mahusiano yao yakaendelea hata wakahaidi kuwa muda si mrefu watafunga ndoa na kilichotokea ni Wema kupost Picha katika mtandao wa picha ikimuonehsa Diamond akiwa amevalia Wigi na Wema kudai kuw aDiamond alivaa wigi lile asubuhi nzima na wadau kutupia maoni tofauti ambapo baada na wengi wakidai kuwa kilicho msukuma mapaka Diamond kuvalia wig lile sio kingine bali ni mapenzi mazito aiyonayo kwa Wema.




Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa