Mwanzo » » JINI KABULA: KUVUMILIA KWANGU NAMSUBIRI BUSHOKE AJE ANIOE

JINI KABULA: KUVUMILIA KWANGU NAMSUBIRI BUSHOKE AJE ANIOE

Imewekwa ma Unknown siku Thursday 27 March 2014 | 00:01

JINI KABULAA
MSANII wa filamu Bongo, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa hayupo tayari kuolewa na mwanaume mwingine zaidi ya mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke aliyeko Afrika Kusini. Akipiga stori na gazeti hili, Kabula alisema: “Ndoa yangu itakuwa na Bushoke tu. Sijali umbali wetu, lakini naamini siku moja atakuja na atanioa. Uhusiano wetu uko poa na tunawasiliana vizuri kila wakati,” alisema Kabula na kuongeza: “Siwezi kusema atakuja lini lakini nawaambia kabisa wanaonizengea, watafute kitu kingine cha kufanya, mimi na Bushoke kilichobaki ni ndoa tu.”
Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa