Mwanzo » » GOSBY AMACHAGUA OMMY DIMPOZ KATIKA KAZI YAKE MPYA.

GOSBY AMACHAGUA OMMY DIMPOZ KATIKA KAZI YAKE MPYA.

Imewekwa ma Click BongoTz siku Monday, 24 March 2014 | 22:38

GOSBY
Rapper mwenye uwezo wa kubadilika amejipika tena baada ya kufanya vizuri na ngoma inayokwenda kwa jina la ''Baby Making Swag(BMS)'' na kujikusanyia mashabiki kadhaa wanaopenda muziki wa mapenzi ule wa taratibu na sasa basi anakuja na ngoma nyingine ambayo katika kushirikisha msanii ameamua kumshirikisha Ommy Dimpoz na nichini ya utayarishaji wa Producer Nah Reel ambaye ni mmoja ya wanounda kundi la Nav Kenzo hivyo soon itatoka.


Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa