Mwanzo » » JAY-Z ACHANA DRAKE KATIKA REMIX YA WE MADE IT ALIYOMPA SHAVU LUPITA NYONG'O..

JAY-Z ACHANA DRAKE KATIKA REMIX YA WE MADE IT ALIYOMPA SHAVU LUPITA NYONG'O..

Imewekwa ma Click BongoTz siku Tuesday, 25 March 2014 | 10:39

Jay Z amepata nafasi ya kuwarukia haters wake kwenye remix ya ‘We Made It’ aliyoshirikishwa na Jay Electronica pamoja na kumpa shavu Lupita katika Original verseion..




Kwenye verse hiyo Jay anasema:

Sorry Mrs. Drizzy for so much art talk / Silly me rapping about sh*t that I really bought / While these rappers rap about guns they ain’t shot and a bunch of other silly sh*t that they ain’t got.’ Mashairi hayo yanatokana na interview aliyofanya Drake kwenye jarida la Rolling Stone ambapo alimchana Jay Z.

“It’s like Hov can’t drop bars these days without at least four art references. I would love to collect at some point, but I think the whole rap/art world thing is getting kind of corny.”



Katika hatua nyingine, Jay Z amempa shavu Mkenya Lupita Nyong’o kwenye ngoma hiyo. ‘I’m on my Lupita Nyong’o / Stuntin’ on stage after 12 Years a Slave.’

Share habari hii :

Post a Comment

WADHAMINI WA BLOG YETU

SIKILIZA CLOUDS FM ONLINE HAPA

TUFUATE HAPA

WASOMAJI WETU

FACEBOOK

DONDOO ZA MWEZI

TWITTER

BLOG ZA WADAU

 
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
HAKIMILIKI © 2013. CLICK BONGO TZ - Haki zote zimehifadhiwa