Kwa wale ambao hamjasanuka na hili ukweli ni kuwa ukurasa huo hauko chini ya Kala bai uko chini ya wezi waliouiba na kusamabaza taarifa zao za kitapeli hivyo kuwa makini na taarifa zinazotolewa kupitia ukurasa huo usije kuibiwa.
Hii ndio sura ya ukurasa wa wezi wanautumia ukurasa ambao aliufungua Kala a baadae kuachana ao baada ya kuwa umeibiwa. |
Post a Comment